Dalili Gani Baada Ya Swalaah ya Istikhaarah? Je Kuna Muda Maalumu Wa Kuiswali
322
SWALI:
Assalamu alaykum. Unaposali Istighar na ukaona kuwa sala yako haijajibiwa au hujaona dalili zozote kuna muda maalumu wa kusali Istighar au nisali mpaka nitakapo ona dalili zozote?