Imaam Ibn #039;Uthaymiyn - Hukmu Ya Khatwiyb Kusema 'Kimu Swalaah' Baada Ya Khutwbah Ya Ijumaa
316
Aliulizwa Imaam Ibn 'Uthaymiyn (Rahimahu Allaah) kuhusiana na kauli ya Khatwiyb, "Na Kimu Swalaah", je, hili limepokewa kutoka kwa Salaf (Wema waliotangulia)?