Je, Ni Sunnah Kuvaa Nguo Ya Kijani Katika Kutimiza Fardhi Ya Hajj?
310
SWALI
Asalam aleykum
Mimi nakwenda hajj mwaka huu, napenda kuuliza kuhusu nguo ya kijani, maana nimeambiwa kuwa nivae nguo ya kijani baada ya kumaliza hajj yaani siku ya sikukuu, na hivyo ndivyo wanavyofanya watu wetu wanaokwenda hajj kuwa wote wanavaa nguo ya kijani siku ya sikukuu. Je, hii ni Sunna kufanya hivyo?
Nitafurahi kupata jibu mapema