Kiwango Cha Zakaah Ya Dhahabu


419

SWALI Assalaam aleykum, Kwanza kabisa namwomba Mola awajaze heri nyinyi na sisi katika kuhangaikia dini ya Allah. Nimevutiwa mno na jibu lenu juu ya mwenye kuchagua Ibada ya faradhi. Kuna kauli inasema kiwango kifikie gram 82.5 za dhahabu, na kuna kauli nyingine inasema kiwango kifikie dirhamu 200, kisha nikaona tena katika gazeti la An Nur limetaja kiwango cha laki tano kwa pesa za Tanzania Naomba uchambuzi wa kukinaisha Wabillahi Tawfiq Ndugu yenu katika imani

JIBU:






Vitambulisho:




Mwanamke mbele yao.