Kukimu Katika Swalaah ya Faradhi Na Sunnah


300

SWALI LA KWANZA: Assalaam Alaykum Warahmatullah Wabarakatuh,Sheikh shukran kwa majib ya maswali yangu niliyouliza inshaallah Mwenyezi Mungu Azza Wa Jalla awalipe mema hapa duniani na huko Akhera kwa kazi yenu ya kujitolea ya kutuongoza. Sheikh sikuwa na nia ya kurudi tena hapa lkn kwa ihsani yako naomba unitupie jicho kidogo utata nilionao, kwani sikupata majibu yake ktk viungo ulivyonitumia. kwanza, kuhusu Iqama Je hii iqama ni kwa ajili tu ya kuswali swala ya fardhi au unaqimu unaposwali sunna Mfano,mimi ninapoanza kuswali sunna kablia ya adhuhuri hukimu,na nikianza rakaa nyengine 2 hukimu, nanikiswali rakaa4 fardhi hukimu na naendelea hivyo kukimu rakaa2 za sunna. Je ndivyo au nakosea SWALI LA PILI: Assalaam Alaykum Warahmatullah Wabarakatuh inshaallah Mwenyezi Mungu awalipe mema kwa kazi yenu ya kutuelimisha Suala langu ni kuhusu Iqama. Je iqama ni kwa ajili ya swala za sunna na za fardhi, mfano kama naswali swala ya adhuhuri na sunna zake inanibidi kila nikitoa salaam nikianza swala nyengine nikimu

JIBU:






Vitambulisho:




Amani, Utulivu na Usalama