SWALI:
Assalam aleikum warahamtullahi wabarakatu. Mimi nimfanya kazi nalipwa mshahara kila mwezi, pato langu kwa sasa haliniwezeshi kuweka akiba lakini niko na pesa benki na nimekopesha watu pesa kitambo ambao bado hawajanilipa. Mwaka jana nilipatwa na mkasa ambao ulinitia katika deni kubwa na hospital, ambalo deni hilo ni kubwa hata kama ni wakulilipa kutokamana na mshahara wangu wa mwaka mzima na hizo pesa ninanzo dai watu haziwezi kulilipa deni hilo nililo nalo.
Swali langu ni nimewajibika kutowa zakatul maal ama la? Nakama nimewajibika hesabu yangu nafaa niifanye vipi ikiwa kwa mfano mshahara ni