Zakaah Inafaa Kupewa Mwalimu Anayefundisha Qur-aan


330

SWALI: Nashukuru sana kwa biddii na kazi ambazo mnazifanya, Allah awazidishie Ilimu na maisha mema hapa duniani na akhera ulizo langu ni hili nimetaka kutoa zaka ya mwaka huu. ila nina shule mbili za quran ambazo na zisimamia, zina wanafunzi zaidi ya 100 na walimu wawili ambao kupata pesa za kuwalipa kila mwezi huwa ni shida kwa sababu wazazi wahao watoto wengi ni maskini na wengine hawaipi thamani kisomo ca Quran. kwa hiyo kuna wakati tunabaki na deni la walimu na tunakhofea kuwa wanaweza wakaacha kufundisha na madrasa ikasimama. nilikuwa na jiuliza kuwa ni kashika pesa zangu za zakaa za huu mwezi ni kaziwalipa wakati wa mwaka mzima. hizi pesa za zakaa zinakubaliwa kulipwa ndani mwalimu wa Quran.

JIBU:






Vitambulisho: