Zakaah Ya Mkopo Wa Mali Inayofanyiwa Biashara


378

SWALI: Ama baada ya salamu natoa shukrani zangu zisizo kifani kwa kuwepo kwa mtandao huu, M/Mungu atujaalie uendele kuwepo na utanuke zaidi na zaidi, Amin. swali langu ni moja ama mawili, nimeshasoma katika masuala ya zakka kiasi kinachoweza kufikiwa ili mtu atoe lakini maelezo yanasema 2.5% itolewe kutoka katika 82.5g ya dhahabu ama pesa yenye thamani sawa na hiyo. swali ni...mama yangu ana milioni 10 amekopa ili afanye biashara na analipa marejesho kwa hao wakopeshaji, faida kwa mwaka mzima inawez kuwa milioni 4 mpaka 6 kwa mwaka mzima na faida hiyo hiyo ndiyo anatumia kusomeshea watoto, yaani hana msaada kutoka kwa mzee wangu, je anatakiwa kulipa zakka? na kama ndiyo atalipa vipi zakka? Naomba mahesabu ya kukokotoa ili ajue anatakiwa kutoa kiasi gani. Halafu nakuomba unipe thamani ya 1 g ya dhahabu katika Tsh/ Assalam alaykum.

JIBU:






Vitambulisho:




Kuchukua Mkopo Kwa Ajili Ya Kumpeleka Mzazi Hajj Inafaa?